Download "Grade 5 Rationalized Kiswahili Schemes of Work Term 2 2026 - Dadisi" Instantly.
2162 views 114 downloads.
Summary
- Description:
The MS Word document comprises Grade 5 Rationalized Kiswahili Term 2 Schemes of Work 2026 - Kiswahili Dadisi. The PDF version is also available upon your request.
This schemes of work provide comprehensive coverage of the Term 2 2026 Grade 5 Kiswahili syllabus.
- Number of Weeks: 1-11 (Weeks 9 is dedicated to the mid-term break, and weeks 12-14 are dedicated to end of term 2 revisions and exam preparation and administration).
- Number of Lessons/Periods per Week: 4.
It covers the following strands and sub-strands:
- Kusikiliza na kuzungumza
- Matamshi bora: ushairi (Wiki 2-3)
- Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali
- Kueleza maana ya msamiati na kutambua msamiati wa maadili
- Nahau za usafi na mazingira (Wiki 4-5)
- Kutambua nahau za usafi na mazingira katika matini
- Kufafanua maana ya nahau mbalimbali na kutunga sentensi
- Visawe: visawe vya maneno matatu (Wiki 6-7)
- Kutambua maneno yenye maana sawa katika kifungu
- Kutunga sentensi akitumia visawe na kutumia kamusi
- Mazugumzo katika miktadha rasmi (Wiki 8, 11)
- Kutambua miktadha rasmi kunakotumiwa lugha rasmi
- Kuigiza mazungumzo ya miktadha rasmi na kutambua nidhamu ya lugha
- Matamshi bora: ushairi (Wiki 2-3)
- Kusoma
- Kusoma kwa mapana: makala (Wiki 2-4)
- Kutambua makala ya kusoma katika maktaba
- Kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha
- Kusoma kwa Mapana: Matini (Wiki 3, 8, 11)
- Kutambua na kusoma matini ili kufaidika na ujumbe
- Kutoa muhtasari wa kile kilichosomwa kwenye matini
- Mchezo wa kuigiza (Wiki 6-7)
- Kutambua na kusoma mchezo mfupi wa kuigiza
- Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza
- Kusoma kwa mapana: makala (Wiki 2-4)
- Sarufi
- Umoja na wingi wa nomino: ngeli ya u-ya (Wiki 2)
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-YA
- Kuandika nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi
- Umoja na wingi wa nomino: ngeli ya ku-ku (Wiki 4-5)
- Kutambua na kuandika nomino katika ngeli ya KU-KU
- Kupigia kistari viambishi vya ngeli KU-KU katika sentensi
- Mnyambuliko wa vitenzi: kauli za kutendewa (Wiki 6)
- Kutambua na kutumia vitenzi katika hali ya kutendewa
- Mnyambuliko wa vitenzi: kauli za kutendeka (Wiki 6)
- Kutambua na kutumia vitenzi katika hali ya kutendeka
- Mnyambuliko wa vitenzi: kauli ya kutendana (Wiki 7)
- Kutambua na kutumia vitenzi katika hali ya kutendana
- Vinyume vya vitenzi (Wiki 10-11)
- Kutambua vinyume vya vitenzi kwenye orodha na matini
- Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi
- Umoja na wingi wa nomino: ngeli ya u-ya (Wiki 2)
- Kuandika
- Kuandika insha ya wasifu (Wiki 2-3)
- Kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu
- Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao
- Kuandika insha ya maelezo (Wiki 4-5, 10)
- Kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
- Kujadili mambo yanayoelezwa na kuchambua muundo wa insha ya maelezo
- Kuandika insha za masimulizi (Wiki 7)
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
- Kuandika insha ya wasifu (Wiki 2-3)
- File Size:155.00 KB
- Length:12 pages
- Category:Schemes of Work
- Level:Grade 5
- Subject:KISWAHILI
- Posted By:Caleb_Peter
Pay Ksh 60.00 Ksh 80.00 to Download PDF
Enter your details below to initiate a payment using MPESA.
🛒 Save Time! Add this item to your cart, shop more, and pay for everything at once—quick, easy, and hassle-free!
Continue ShoppingAccess More Grade 5 Schemes of Work for Term 2 2026
Kiswahili
Grade 5 Kiswahili Term 2 Rationalized Schemes of Work 2026 (KLB Visionary)
Price: Ksh 60.00 Ksh 75.00