Download "Grade 2 Rationalized Kiswahili Language Activities Schemes of Work Term 2 2026 - KLB Toleo Jipya" Instantly.
1298 views 67 downloads.
Summary
- Description:
The MS Word document comprises Grade 2 Rationalized Kiswahili Term 2 Schemes of Work 2026 - Kiswahili Toleo Jipya. The PDF version is also available upon your request. The primary text supporting these schemes is the Kiswahili Toleo Jipya Kitabu cha Mwanafunzi.
This schemes of work guide the delivery of the Grade 2 Kiswahili curriculum for the second term.
- Number of Weeks: 14 weeks. Wiki ya 9 inatengewa likizo ya nusu muhula (half term), na wiki ya 13-14 zinatumika kwa marudio na mtihani wa mwisho wa muhula.
- Number of Lessons/Periods per Week: 4 lessons
It covers the following strands and sub-strands:
- Usafiri (Wiki 1-2)
- Sauti na majina ya herufi, Kusoma, Kusikiliza na kuzungumza, Msamiati, Kusoma hadithi, Kuandika, Sarufi
- Kutambua herufi na kutamka sauti lengwa
- Kusoma silabi na maneno marefu
- Kueleza maana ya msamiati na kutunga sentensi
- Kusoma hadithi na kujibu maswali
- Kubainisha matumizi ya "hii na hizi" na matumizi ya herufi kubwa
- Kuandika kwa hati nadhifu
- Sauti na majina ya herufi, Kusoma, Kusikiliza na kuzungumza, Msamiati, Kusoma hadithi, Kuandika, Sarufi
- Mnyama nimpendaye (Wiki 3-5)
- Sauti na majina ya herufi, Kusoma, Kusikiliza na kuzungumza, Msamiati, Kusoma hadithi, Kuandika, Sarufi
- Kusoma silabi za jedwali na kuunda maneno halisi
- Kujadili picha na kutoa utabiri kuhusu wanyama
- Kusoma hadithi kwa ufasaha na kusimulia
- Kubainisha matumizi ya vivumishi "-ako" na "-enu"
- Sauti na majina ya herufi, Kusoma, Kusikiliza na kuzungumza, Msamiati, Kusoma hadithi, Kuandika, Sarufi
- Ukoo (Wiki 6-8)
- Sauti na majina ya herufi, Kusoma, Kusikiliza na kuzungumza, Msamiati, Sarufi, Kuandika
- Kuunda maneno sahihi kutokana na jedwali la silabi
- Kutumia vivumishi vya sifa na vitenzi katika sentensi
- Kujadili shughuli za ukoo, sherehe za kuzaliwa na picha
- Kusoma na kujibu maswali ya ufahamu
- Sauti na majina ya herufi, Kusoma, Kusikiliza na kuzungumza, Msamiati, Sarufi, Kuandika
- Sebuleni (Wiki 10-12)
- Sauti na majina ya herufi, Kusoma, Kusikiliza na kuzungumza, Msamiati, Sarufi, Kuandika
- Kusoma maneno marefu na kueleza msamiati husika
- Kutunga na kusoma sentensi kwa kutumia "huyo" na "hao"
- Kutunga sentensi zinazoonyesha umoja na wingi
- Kujadili hatari za sebuleni na usafi
- Kuandika kwa hati nadhifu
- Sauti na majina ya herufi, Kusoma, Kusikiliza na kuzungumza, Msamiati, Sarufi, Kuandika
- File Size:54.46 KB
- Category:Schemes of Work
- Level:Grade 2
- Subject:KISWAHILI LANGUAGE ACTIVITIES
- Posted By:Caleb_Peter
Pay Ksh 60.00 Ksh 80.00 to Download PDF
Enter your details below to initiate a payment using MPESA.
🛒 Save Time! Add this item to your cart, shop more, and pay for everything at once—quick, easy, and hassle-free!
Continue Shopping