Download "Grade 10 Kiswahili Lugha Records of Work Term 2 2026 - Akili Pevu" Instantly.

348 views 18 downloads.

Summary

  • Description:

    The MS Word document comprises Grade 10 Rationalized Kiswahili Sanifu Term 2 Records of Work 2026 – Akili Pevu. The PDF version is also available upon your request.

    Rekodi hizi za kazi zinawasilisha maudhui ya kina ya mtaala wa Kiswahili Darasa la 10 Muhula wa 2 wa 2026, zikiwa zimezingatia muundo wa mtaala ulioidhinishwa na KICD na zikilandana kikamilifu na mipango ya kazi na mipango ya masomo ya Muhula wa 2.

    • Idadi ya Wiki: Wiki 1–8 na 10–12 (Wiki ya 9 imetengwa kwa mapumziko ya katikati ya muhula, huku Wiki 13 na 14 zikiwekwa kwa mapitio ya mwisho wa muhula wa 2, maandalizi ya mitihani na usimamizi)
    • Idadi ya Vipindi kwa Wiki: Vipindi 5 kwa wiki

    It covers the following strands and sub-strands:

    • Usalama Barabarani (Wiki 1–3)
      • Kusikiliza na Kuzungumza
        • Kusikiliza kwa kupata habari – maana, miktadha na vipengele vya kuzingatia
        • Mazungumzo kuhusu usalama barabarani
      • Kusoma
        • Kusoma kwa mapana – vipengele, umuhimu, kusoma matini ya kujichagulia, msamiati na muhtasari
      • Kuandika
        • Uandishi wa kiuamilifu – maana, umuhimu na vipengele vya ratiba
        • Kuandika ratiba ya uhamasishaji wa usalama barabarani
      • Matumizi ya Lugha
        • Mnyambuliko wa vitenzi – kauli ya kutenda, kauli ya kutendea, kauli ya kutendwa na kutendewa
    • Kukabiliana na Mabadiliko ya Maisha (Wiki 3–6)
      • Kusikiliza na Kuzungumza
        • Kusikiliza kwa kupambanua – maana, vipengele na kupambanua maana na mielekeo
        • Mazungumzo kuhusu mabadiliko ya maisha
      • Kusoma
        • Kusoma kwa kina – maana na umuhimu wa mbinu ya kurashia
        • Kutumia mbinu ya kurashia; msamiati na ujumbe kutoka matini iliyorashiwa
      • Kuandika
        • Uhariri – maana, umuhimu, hatua na kanuni za kuhariri matini
        • Kuhariri matini ya mwanafunzi
      • Matumizi ya Lugha
        • Ukanushaji – wakati uliopita, wakati uliopo na wakati ujao
    • Kudhibiti Taka Katika Mazingira (Wiki 6–8)
      • Kusikiliza na Kuzungumza
        • Uzungumzaji wa papo kwa hapo – maana, miktadha na kanuni za kuzingatia
        • Mazoezi ya kuzungumza kuhusu usafi wa mazingira
      • Kusoma
        • Kusoma kwa ufasaha – vipengele, kusoma kifungu cha maelezo, msamiati na ujumbe
      • Kuandika
        • Uandishi wa kiuamilifu – maana, umuhimu na vipengele vya notisi
        • Kuandika notisi ya mkutano
      • Matumizi ya Lugha
        • Aina za maneno – vielezi na viunganishi
    • Uadilifu Katika Uongozi Shuleni (Wiki 10–12)
      • Kusikiliza na Kuzungumza
        • Kuzungumza kwa ufasaha – maana, sifa na kanuni za kuandaa mjadala
        • Mazoezi ya kushiriki mjadala kuhusu uadilifu wa wanafunzi katika uongozi
      • Kusoma
        • Kusoma kwa ufahamu – maana na vipengele vya kifungu simulizi
        • Kusoma kifungu simulizi na kutambua ujumbe, msamiati na maswali ya ufahamu
      • Kuandika
        • Uandishi wa kiuamilifu – maana, umuhimu, vipengele na aina za shajara
        • Kuandika shajara ya uchaguzi wa viongozi shuleni
      • Matumizi ya Lugha
        • Aina za maneno – vihusishi na vihisishi
        • Uundaji wa maneno – mbinu ya mkato, mbinu ya kuambatanisha na mbinu ya uradidi
  • File Size:
    39.36 KB
  • Length:
    11 pages
  • Category:
    Records of Work
  • Level:
    Grade 10
  • Subject:
    KISWAHILI
  • Posted By:
    Caleb_Peter

Pay Ksh 70.00 Ksh 80.00 to Download PDF

Enter your details below to initiate a payment using MPESA.

Please fill out this field.
Looks good!
Looks good (optional field)!
Attachments can be downloaded immediately after purchase, and a copy will also be sent to your provided email.

🛒 Save Time! Add this item to your cart, shop more, and pay for everything at once—quick, easy, and hassle-free!

Continue Shopping
0