Download "Grade 8 Rationalized Kiswahili Term 2 Records of Work 2026 (Akili Pevu)" Instantly.
223 views 12 downloads.
Summary
- Description:
The MS Word document comprises Grade 8 Kiswahili Term 2 Records of Work 2026 - Akili Pevu. The PDF version is also available upon your request.
These records of work provide comprehensive coverage of the Term 2 2026 Grade 8 Kiswahili syllabus.
- Number of Weeks: 1-7, 9-11 (The missing weeks 8, 12, 13, and 14 out of the 14 weeks are dedicated to the mid-term break, end of term 2 revisions, and exam preparation and administration.)
It covers the following strands and sub-strands:
- Kuhudumia Wenye Mahitaji Maalum
- Vivumishi Vimilikishi na vya Idadi
- Kutambua na kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo katika matini (Wiki 1)
- Vivumishi Vimilikishi na vya Idadi
- Uhalifu wa Mtandaoni
- Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
- Kueleza maana, kutambua vipengele, na kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo (Wiki 1)
- Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
- Kusoma
- Kusoma Kwa Kina
- Kutambua na kueleza umuhimu wa mandhari na ploti, na kujadili sifa za wahusika katika tamthilia (Wiki 2, 6)
- Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
- Kutambua habari mahususi, kutabiri matukio, na kueleza maana ya msamiati katika kifungu (Wiki 4)
- Insha za Kubuni
- Kujadili vipengele vya insha ya maelezo na kuandika insha ya maelezo ipasavyo (Wiki 9)
- Kusoma kwa Ufasaha
- Kueleza vipengele vya kusoma kwa ufasaha na kusoma kifungu kwa kasi na ishara zifaazo (Wiki 10-11)
- Kusoma Kwa Kina
- Kuandika
- Viakifishi
- Kutambua na kutumia alama za mtajo na mshazari katika matini (Wiki 2)
- Insha za Kubuni
- Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo na kuandika insha ya masimulizi (Wiki 4)
- Barua ya Kuomba Msaada
- Kutambua vipengele vya kimuundo na kuandika barua rasmi ya kuomba msaada (Wiki 6)
- Insha za Kiuamilifu
- Kueleza maana, kutambua hotuba ya kutoa ufafanuzi, na kuiandika kwa kuzingatia vipengele vyake (Wiki 11)
- Viakifishi
- Sarufi
- Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
- Kutambua na kutumia nomino za ngeli ya I-ZI, I-I, U-U na U-YA kwa kuzingatia upatanisho ufaao (Wiki 3, 5)
- Vinyume vya Vitenzi na Vielezi
- Kueleza maana ya kinyume na kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo (Wiki 7)
- Mnyambuliko wa Vitenzi
- Kutambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda (Wiki 9-10)
- Aina za Sentensi
- Kueleza maana, kutambua, na kutumia sentensi changamano katika matini (Wiki 11)
- Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
- Majukumu ya Mnunuzi
- Kusikiliza kwa Kina
- Kutambua, kutamka, na kutumia sauti /k/ na /gh/ katika silabi na maneno (Wiki 3)
- Kusikiliza kwa Kina
- Kukabiliana na Hisia
- Hadithi
- Kueleza maana, ujumbe, na kusimulia hurafa na hekaya kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji (Wiki 5)
- Hadithi
- Haki za Watoto
- Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
- Kutambua umuhimu wa vidokezo, kujadili vipengele vya kuzingatia, na kutoa mazungumzo (Wiki 7)
- Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
- Magonjwa Yasiyoambukizwa
- Kusikiliza kwa Makini
- Kueleza habari, kukadiria maana ya msamiati, na kudondoa habari muhimu katika matini (Wiki 10)
- Kusikiliza kwa Makini
- File Size:38.01 KB
- Length:10 pages
- Category:Records of Work
- Level:Grade 8
- Subject:KISWAHILI
- Posted By:Caleb_Peter
Pay Ksh 70.00 Ksh 85.00 to Download PDF
Enter your details below to initiate a payment using MPESA.
🛒 Save Time! Add this item to your cart, shop more, and pay for everything at once—quick, easy, and hassle-free!
Continue Shopping