Download "Topnotch Kiswahili Paper 1 Mock Exam with Answers (Marking Schemes)" Instantly.
216 views 14 downloads.
Summary
- Description:
The PDF document comprises Topnotch Kiswahili Paper 1 2026 Mock Exam with Marking Scheme. The marking scheme is in a different document.
It was a KCSE Kiswahili Paper 1 examination.
Karatasi hii ya Insha ya Kiswahili inawapa wanafunzi fursa ya kujipima katika uandishi wa ripoti rasmi, insha za mjadala, utumizi wa methali, na insha za kubuni ili kujiandaa vyema kwa mtihani wa KCSE.
- Month Administered: Muhula wa Pili 2026
- Total Marks: Alama 40
- Number of Questions: Maswali 4 (Swali la 1 la lazima pamoja na kuchagua jingine moja kati ya 2-4)
- Structure: Insha mbili (Kila insha ina alama 20)
It covers the following topics:
- Swali la 1 (Insha ya Lazima): Uandishi wa ripoti rasmi kama katibu wa jopo lililochunguza sababu za ukosefu wa maridhiano na utangamano katika jamii
- Swali la 2 (Insha ya Mjadala): Mjadala kuhusu hatari inayomkabili mtoto mvulana ya kukosa kufaulu masomoni kuliko mtoto msichana katika karne ya sasa
- Swali la 3 (Insha ya Methali): Insha inayofafanua ukweli na maana ya methali 'Bila silaha usiingie vitani'
- Swali la 4 (Insha ya Kubuni): Insha ya kubuni inayoanza kwa maneno: 'Sauti hiyo ilikuwa ya kutisha...'
- Category:Mock Past Papers
- Level:Form 4
- Subject:KISWAHILI
- Posted By:Caleb_Peter
Pay Ksh 60.00 Ksh 70.00 to Download PDF
Enter your details below to initiate a payment using MPESA.
🛒 Save Time! Add this item to your cart, shop more, and pay for everything at once—quick, easy, and hassle-free!
Continue Shopping