Download "KCSE 2026 Kiswahili Paper 2 Prediction with Answers (Set 4)" Instantly.
Summary
- Description:
The MS Word document comprises KCSE 2026 Kiswahili Karatasi ya 2 Prediction Paper with Answers (Set 4). The PDF version is also available upon your request. The marking scheme is in a different document.
It was a KCSE Kiswahili Karatasi ya 2 prediction examination designed to prepare candidates for the national assessment.
Hutathmini uwezo wa watahiniwa katika kusoma na kuelewa makala, kufupisha hoja muhimu, kuchanganua sarufi na miundo mbalimbali ya Kiswahili, pamoja na kuelewa kanuni za isimujamii.
- Muda: Saa 2
- Muundo: Sehemu nne: Ufahamu (alama 15), Ufupisho (alama 15), Sarufi na Matumizi ya Lugha (alama 40), na Isimujamii (alama 10)
It covers the following topics:
- Ufahamu
- Makala kuhusu Umaskini Barani Afrika, Athari za Madeni, Masharti ya Nchi za Nje, na Uongozi Mbaya
- Uchanganuzi wa Misamiati, Nahau, na Istiara
- Ufupisho
- Kufupisha Hoja Kuhusu Uwezo wa Ubongo Kukumbuka Mambo na Uimarishaji Wake Kupitia Lishe na Mazoezi
- Sarufi na Matumizi ya Lugha
- Sauti Mwambatano na Muundo wa Fonetiki (Sauti Nazali, Irabu, na Vipasuo)
- Mofolojia na Upatanisho wa Kisintaksia (Ngeli za Nomino, Vivumishi Unganifu)
- Dhana ya Neno "Jinsi", Ukanushaji, na Uundaji wa Wingi
- Uakifishaji na Ugeuzaji wa Sentensi katika Usemi wa Taarifa
- Kauli za Vitenzi, Masharti Yasiyowezekana, na Hali Isiyodhihirika
- Uchanganuzi wa Sentensi kwa Kutumia Jedwali na Shamirisho Ala
- Matumizi ya Vitate, Uamilifu wa Kishazi Tegemezi, na Hali ya Ukubwa
- Isimujamii
- Changamoto Zinazoikabili Lugha ya Kiswahili Kama Somo Katika Shule za Upili Nchini Kenya
- File Size:76.00 KB
- Length:10 pages
- Category:KCSE Prediction Papers
- Level:Form 4
- Subject:Kiswahili
- Posted By:Caleb_Peter
Pay Ksh 50.00 Ksh 60.00 to Download PDF
Enter your details below to initiate a payment using MPESA.
🛒 Save Time! Add this item to your cart, shop more, and pay for everything at once—quick, easy, and hassle-free!
Continue Shopping