Download "KCSE 2026 Kiswahili Paper 3 Prediction with Answers (Set 3)" Instantly.
260 views 29 downloads.
Summary
- Description:
The MS Word document comprises KCSE 2026 Kiswahili Paper 3 Prediction Paper with Answers (Set 3). The PDF version is also available upon your request. The marking scheme is in a different document.
It was a KCSE Kiswahili Paper 3 prediction examination designed to prepare candidates for the national assessment.
Hutathmini uwezo wa kina wa fasihi kupitia ushairi, fasihi simulizi, uchambuzi wa tamthilia teule, riwaya, na hadithi fupi za Kiswahili.
- Muda: Saa 2½
- Jumla ya Alama: 80
- Idadi ya Maswali: 8 (Sehemu A - E)
- Muundo: Sehemu tano; mtahiniwa anajibu maswali manne pekee: Sehemu ya A (Fasihi Simulizi, Swali la 1 la lazima), kisha swali moja moja kutoka sehemu nyingine tatu tofauti kati ya Tamthilia, Riwaya, Ushairi, na Hadithi Fupi
Inajumuisha mada zifuatazo:
- Sehemu ya A: Fasihi Simulizi (Nyimbo za mapenzi/kongozi: umuhimu wa kijamii, sifa za uwasilishaji, hatua za utafiti, udhaifu wa mbinu ya kushiriki, na athari za uandishi badala ya uimbaji)
- Sehemu ya B: Tamthilia (Bembea ya Maisha na Timothy Arege: uchanganuzi wa dondoo, nafasi na ukombozi wa mwanamke, uwajibikaji, mbinu za lugha na mtindo)
- Sehemu ya C: Riwaya (Nguu za Jadi na Clara Momanyi: uongozi mbaya wa Mtemi Lesulia, matatizo ya kiuchumi na kijamii ya nchi ya Matuo, mikakati ya kukabiliana na dhuluma)
- Sehemu ya D: Ushairi:
- Shairi Huru ("Mto Monyara": uharibifu wa mazingira, mabadiliko ya maisha ya kijiji, mishata, taswira, uhuru wa kishairi, na lugha nathari)
- Shairi la Arudhi ("Binadamu Hatosheki": tamaa, unafiki, bahari za ushairi, mikakati ya uandishi, na urudiaji)
- Sehemu ya E: Hadithi Fupi (Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine: ufaafu wa anwani na masuala ya kijamii katika "Fadhila za Punda" na vikwazo vya kujikomboa kwa mwanamke katika hadithi ya "Sabina")
- File Size:30.10 KB
- Category:KCSE Prediction Papers
- Level:Form 4
- Subject:Kiswahili
- Posted By:Caleb_Peter
Pay Ksh 50.00 Ksh 60.00 to Download PDF
Enter your details below to initiate a payment using MPESA.
🛒 Save Time! Add this item to your cart, shop more, and pay for everything at once—quick, easy, and hassle-free!
Continue Shopping