Download "KCSE 2026 Kiswahili Paper 3 Prediction with Answers (Set 1)" Instantly.
Summary
- Description:
The MS Word document comprises KCSE 2026 Kiswahili Karatasi ya 3 Prediction Paper with Answers (Set 1). The PDF version is also available upon your request. The marking scheme is in a different document.
It was a KCSE Kiswahili Karatasi ya 3 prediction examination designed to prepare candidates for the national assessment.
Karatasi hii inachunguza kwa kina uhakiki wa kifasihi, uchambuzi wa riwaya, tamthilia, hadithi fupi teule, ushairi wa kimapokeo na kisasa, na tanzu za fasihi simulizi.
- Muda: Saa 2 Dakika 30
- Jumla ya Alama: 80
- Idadi ya Maswali: 8 (Maswali 1 - 8)
- Muundo: Sehemu tano: Sehemu ya A: Riwaya (Swali la 1 ni la lazima - alama 20), Sehemu ya B: Tamthilia (chagua swali la 2 au 3 - alama 20), Sehemu ya C: Hadithi Fupi (chagua swali la 4 au 5 - alama 20), Sehemu ya D: Ushairi (chagua swali la 6 au 7 - alama 20), na Sehemu ya E: Fasihi Simulizi (alama 20).
Inajumuisha mada zifuatazo:
- Sehemu ya A: Riwaya (Clara Momanyi: Nguu za Jadi):
- Muktadha wa dondoo, mbinu za kimtindo, umuhimu wa mandhari, na maudhui ya uharibifu wa kijamii na matumaini
- Sehemu ya B: Tamthilia (Timothy Arege: Bembea ya Maisha):
- Muktadha wa maneno, mbinu za sanaa, maudhui ya mabadiliko ya kijamii, dhuluma na maumivu ya ndani ya wanawake katika jamii
- Sehemu ya C: Hadithi Fupi (D. W. Lutomia na P. Muthama: Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine):
- Paul Mutua Ng'ang'a: "Harubu ya Maisha" (Unyanyasaji wa wanaume katika ndoa, changamoto za waajiriwa na kazi za vibarua)
- "Toba ya Kalia" (Umuhimu wa malezi na madhara ya upotovu wa maadili miongoni mwa vijana)
- Sehemu ya D: Ushairi:
- Shairi huru na shairi la arudhi (Uchambuzi wa maudhui ya ndoa, unyanyasaji wa kijinsia, mbinu za kifani, tamathali za usemi, na uhuru wa kishairi)
- Nyimbo za tohara na jinsia (Ushairi simulizi wa kiutamaduni, sifa za nafsineni, ujasiri na mfumo dume)
- Sehemu ya E: Fasihi Simulizi:
- Uchambuzi wa nyimbo na ngonjera za kitamaduni, sifa za jamii kiuchumi na kiutamaduni, na mbinu za utafiti uwandani (Manufaa na changamoto za kutumia hojaji)
- File Size:77.00 KB
- Length:6 pages
- Category:KCSE Prediction Papers
- Level:Form 4
- Subject:Kiswahili
- Posted By:Caleb_Peter
Pay Ksh 50.00 Ksh 60.00 to Download PDF
Enter your details below to initiate a payment using MPESA.
🛒 Save Time! Add this item to your cart, shop more, and pay for everything at once—quick, easy, and hassle-free!
Continue Shopping