Download "Grade 7 Rationalized Kiswahili Lesson Plans Term 1 2026" Instantly.
Summary
- Description:
The MS Word document comprises Grade 7 Rationalized Kiswahili Lesson Plans Term 1 2026. The PDF version is also available upon your request.
The lesson plans cover a duration of 11 weeks, with each week structured to contain 4 distinct lessons. The lesson plans are fully aligned with the KICD-approved CBE (Competency-Based Education) curriculum.
The document covers the following strands, sub-strands, and topics:
- Kusikiliza na Kuzungumza
- Kusikiliza na Kujibu: Mazungumzo
- Kutambua na kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mazungumzo.
- Kuigiza mazungumzo katika miktadha mbalimbali.
- Kusikiliza kwa Kina
- Kutambua na kutamka sauti /dh/ na /th/ katika silabi na maneno.
- Kutumia maneno yenye sauti /dh/ na /th/ katika sentensi na vitanzandimi.
- Tanzu za Fasihi
- Fasihi Simulizi na Andishi: Maana, sifa, na tofauti zake.
- Kutambua na kuwasilisha tungo za fasihi simulizi na andishi.
- Nyimbo
- Nyimbo za Watoto: Maana, sifa, na uwasilishaji.
- Bembelezi: Maana, sifa, na mitindo ya uwasilishaji.
- Mazungumzo Mahususi
- Maamkizi na Maagano: Kutambua na kutumia maamkizi na maagano kulingana na wakati na muktadha.
- Kusikiliza na Kujibu: Mazungumzo
- Kusoma
- Kusoma kwa Ufahamu
- Kifungu cha Simulizi: Kudondoa habari, kupanga matukio, na kueleza msamiati.
- Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu.
- Kudondoa habari mahsusi na kutambua msamiati katika kifungu cha ufahamu.
- Kusoma kwa Mapana
- Matini ya Kujichagulia: Kuchagua matini, kueleza ujumbe, na kutumia msamiati uliotumiwa.
- Kusoma kwa Kina
- Sifa za Novela: Maana ya novela na sifa zake (wahusika, mazingira, mtindo).
- Kusoma kwa Ufasaha
- Kuzingatia matamshi bora, kasi, sauti, na ishara za uandishi wakati wa kusoma.
- Kusoma kwa Ufahamu
- Kuandika
- Viakifishi
- Herufi Kubwa: Matumizi katika majina na mwanzo wa sentensi.
- Kikomo: Matumizi ya kikomo katika matini.
- Barua ya Kirafiki
- Barua ya Kutoa Mwaliko: Muundo, lugha, na ujumbe.
- Insha za Kubuni
- Kuteua mada, ujumbe, na kuandaa vidokezo.
- Masimulizi: Matumizi ya lugha ya kiubunifu, wahusika, na mandhari.
- Insha ya Maelekezo
- Maana, sifa, na uandishi wa insha ya maelekezo kwa kufuata mpangilio wa hatua.
- Viakifishi
- Sarufi
- Aina za Nomino
- Nomino za Pekee.
- Nomino za Kawaida.
- Nomino za Makundi.
- Nomino za Dhahania.
- Nomino za Wingi.
- Nomino za Vitenzi-jina.
- Nyakati na Hali
- Wakati Uliopo, Ujao, na Uliopita: Kubainisha na kutumia vitenzi katika nyakati hizi.
- Wakati Uliopita Hali ya Kuendelea.
- Wakati Ujao Hali ya Kuendelea.
- Aina za Nomino
- Kusikiliza na Kuzungumza
- File Size:161.23 KB
- Category:Lesson Plans
- Level:Grade 7
- Subject:KISWAHILI
- Posted By:Caleb_Peter
Pay Ksh 70.00 Ksh 90.00 to Download PDF
Enter your details below to initiate a payment using MPESA.
🛒 Save Time! Add this item to your cart, shop more, and pay for everything at once—quick, easy, and hassle-free!
Continue Shopping