Download "Grade 7 Rationalized Kiswahili Notes Complete Term 1, 2, and 3" Instantly.

9787 views 270 downloads.

Summary

  • Description:

    The PDF document comprises Grade 7 Rationalized Kiswahili Notes Complete Term 1, 2, and 3. The MS Word version (editable) is also available upon your request.

    It covers the following topics:

    • Mada ya 1: Usafi wa Kibinafsi
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Kusikiliza na Kujibu Mazungumzo (Vipengele vya kuzingatia).
      • Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Simulizi (Stadi za kudondoa habari na plot).
      • Kuandika: Viakifishi (Matumizi ya Herufi Kubwa na Kikomo).
      • Sarufi: Aina za Nomino (Nomino za Pekee na Nomino za Kawaida).
    • Mada ya 2: Lishe Bora
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Kusikiliza kwa Kina (Tofauti za sauti /dh/ na /th/).
      • Kusoma: Kusoma kwa Mapana (Matini ya Kujichagulia na mikakati ya kuchota maarifa).
      • Kuandika: Barua ya Kirafiki ya Kutoa Mwaliko (Muundo na kielelezo).
      • Sarufi: Aina za Nomino (Nomino za Makundi na Nomino za Dhahania).
    • Mada ya 3: Uhuru wa Wanyama
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Tanzu za Fasihi (Sifa za Fasihi Simulizi na Fasihi Andishi).
      • Kusoma: Kusoma kwa Kina (Novela - Maana na sifa zake).
      • Kuandika: Insha za Kubuni (Mchakato wa uandishi: Mada, vidokezo, na muundo).
      • Sarufi: Aina za Nomino (Nomino za Wingi na Nomino za Vitenzi-Jina).
    • Mada ya 4: Aina za Maliasili
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Nyimbo (Sifa za Nyimbo za Watoto na Bembelezi).
      • Kusoma: Kusoma kwa Ufasaha (Kasi, hisia, na zingatio la viakifishi).
      • Kuandika: Insha za Kubuni (Masimulizi na lugha ya kiubunifu).
      • Sarufi: Nyakati na Hali (Wakati Uliopo, Uliopita, na Ujao).
    • Mada ya 5: Unyanyasaji wa Kijinsia
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Mazungumzo Mahususi (Aina za Maamkuzi na Maagano kulingana na wakati/heshima).
      • Kusoma: Kusoma kwa Ufahamu (Kifungu cha Ufahamu na mbinu za kudondoa habari).
      • Kuandika: Insha ya Maelekezo (Sifa, muundo, na lugha ya amri).
      • Sarufi: Nyakati na Hali (Wakati Uliopita na Ujao katika Hali ya Kuendelea).
    • Mada ya 6: Usalama Shuleni
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Kusikiliza kwa Kufasiri (Kutabiri matokeo na kuelewa msamiati kimuktadha).
      • Kusoma: Kusoma kwa Kina (Novela - Uchambuzi wa Maudhui na Dhamira).
      • Kuandika: Insha za Kubuni (Insha ya Picha - Kutazama, kufasiri na kupanga mtiririko).
      • Sarufi: Vitenzi (Vitenzi Vikuu na Vitenzi Visaidizi).
    • Mada ya 7: Kuhudumia Jamii Shuleni
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Kusikiliza kwa Ufahamu (Utulivu na kutambua ujumbe mkuu).
      • Kusoma: Ufupisho (Kanuni za kuandika ufupisho bora).
      • Kuandika: Insha za Kubuni (Maelezo na matumizi ya hisia/taswira).
      • Sarufi: Vitenzi Vishirikishi (Maana na matumizi).
    • Mada ya 8: Ulaguzi wa Binadamu
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Kuzungumza ili Kupasha Habari.
      • Kusoma: Kusoma kwa Kina (Novela - Mandhari na Ploti).
      • Kuandika: Viakifishi (Matumizi ya Kiulizi na Koma).
      • Sarufi: Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi (Ngeli ya A-WA na U-I).
    • Mada ya 9: Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika Mawasiliano
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Kusikiliza kwa Kina (Uchambuzi wa sauti /d/ na /nd/).
      • Kusoma: Kusoma kwa Ufahamu (Kifungu cha Kushawishi na kutathmini hoja).
      • Kuandika: Insha za Kubuni (Masimulizi - Muundo na vidokezo).
      • Sarufi: Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi (Ngeli ya KI-VI na LI-YA).
    • Mada ya 10: Kujithamini
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Nyimbo (Sifa za Nyimbo za Kazi na Nyimbo za Dini).
      • Kusoma: Kusoma kwa Kina (Novela - Aina na uchambuzi wa Wahusika).
      • Kuandika: Barua Rasmi ya Kuomba Msamaha (Muundo na lugha rasmi).
      • Sarufi: Vinyume (Vinyume vya Nomino na Vivumishi).
    • Mada ya 11: Majukumu ya Watoto
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo/Ishara.
      • Kusoma: Kusoma kwa Mapana (Mikakati ya kuchagua matini na kuvuna msamiati).
      • Kuandika: Insha za Kubuni - Maelezo (Mpangilio wa Kimahali, Kiwakati, na Kipaumbele).
      • Sarufi: Mnyambuliko wa Vitenzi (Kauli ya Kutenda, Kutendea, na Kutendwa).
    • Mada ya 13: Utatuzi wa Mizozo
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Wahusika katika Nyimbo (Nafsi Neni, Nenewa, na Rejelewa).
      • Kusoma: Kusoma kwa Kina - Novela (Mbinu za Lugha kama Tashbihi na Sitiari).
      • Kuandika: Insha za Kubuni (Maelezo ya Mtu - Sura na Tabia).
      • Sarufi: Ukanushaji kwa Kuzingatia Nyakati (Uliopita, Uliopo, na Ujao).
    • Mada ya 14: Matumizi ya Pesa
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Lugha katika Nyimbo (Urudiaji, Picha, na Tamathali za Semi).
      • Kusoma: Kusoma kwa Ufahamu (Kifungu cha Mjadala - Hoja mseto na lugha ya kushawishi).
      • Kuandika: Insha ya Maelekezo (Muundo na lugha ya kuelekeza).
      • Sarufi: Ukubwa wa Nomino (Kanuni za uundaji).
    • Mada ya 15: Maadili ya Mtu Binafsi
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Kusikiliza Habari na Kujibu (Kutabiri na kuchuja habari).
      • Kusoma: Ufupisho (Hatua za kuandika ufupisho).
      • Kuandika: Kuandika Kidijitali - Baruapepe (Muundo na adabu za kidijitali).
      • Sarufi: Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa (Kanuni za kubadilisha).
  • File Size:
    2.36 MB
  • Length:
    223 pages
  • Category:
    Lesson Notes
  • Level:
    Grade 7
  • Subject:
    KISWAHILI
  • Posted By:
    Caleb_Peter

Pay Ksh 120.00 Ksh 150.00 to Download PDF

Enter your details below to initiate a payment using MPESA.

Please fill out this field.
Looks good!
Looks good (optional field)!
Attachments can be downloaded immediately after purchase, and a copy will also be sent to your provided email.

🛒 Save Time! Add this item to your cart, shop more, and pay for everything at once—quick, easy, and hassle-free!

Continue Shopping
0