Download "Grade 6 Rationalized Kiswahili Notes Complete Term 1, 2, and 3" Instantly.
7726 views 294 downloads.
Summary
- Description:
The PDF document comprises Grade 6 Rationalized Kiswahili Notes Complete Term 1, 2, and 3. The MS Word version (editable) is also available upon your request.
It covers the following topics:
- Mada ya 1: Viungo vya Mwili vya Ndani
- Kusikiliza na Kuzungumza: Matamshi Bora (Sauti d/nd, ch/sh, j/nj, g/ng) na Vitanzandimi.
- Kusoma kwa Ufahamu: Viungo Muhimu vya Ndani (Moyo, Mapafu, Ini, Figo, Ubongo) na kazi zake.
- Kuandika: Insha ya Wasifu (Muundo, mambo ya kuzingatia, na mfano).
- Sarufi: Vivumishi vya Sifa (Sifa za kimaumbile na kitabia) na Upatanisho wa Kisarufi.
- Mada ya 2: Michezo
- Kusikiliza na Kuzungumza: Maamkuzi na Maagano (Kulingana na wakati, heshima, na rika).
- Kusoma: Kusoma kwa Kina na Matumizi ya Kamusi (Mpangilio wa abjadi na msamiati wa michezo).
- Kuandika: Insha za Masimulizi (Muundo, taharuki, na ubunifu).
- Sarufi: Vivumishi vya Idadi, Vivumishi Viulizi (-pi, gani), na Kivumishi Kirejeshi (Amba-).
- Mada ya 3: Mahusiano
- Kusikiliza na Kuzungumza: Vitendawili (Muundo wa kutega/kutegua na uchambuzi wa vitendawili).
- Kusoma: Kusoma kwa Ufasaha (Kasi, usahihi, kiimbo, na ishara).
- Kuandika: Kuandika kwa Tarakilishi (Mitindo ya maandishi: Koza, Italiki, Kupigia mstari).
- Sarufi: Viwakilishi (Nafsi, Viashiria vya Mahali, Idadi) na Uakifishaji.
- Mada ya 4: Misimu
- Kusikiliza na Kuzungumza: Heshima, Adabu na Vyeo (Vyeo vya Kidini, Serikali, na Kijamii).
- Kusoma: Kusoma kwa Mapana (Matini za Kidijitali na Usalama wa Mtandaoni).
- Kuandika: Barua Rasmi (Muundo, tofauti na barua ya kirafiki, na kielelezo).
- Sarufi: Ngeli ya YA-YA (Nomino za majimaji/wingi na upatanisho).
- Mada ya 5: Mshikamano wa Kitaifa
- Kusikiliza na Kuzungumza: Methali za Umoja na Ushirikiano (Maana ya ndani na matumizi).
- Kusoma: Ushairi (Dhana ya Ukwapi na Utao, na aina za mashairi: Tathnia, Tathlitha, Tarbia).
- Kuandika: Insha za Maelezo (Muundo, mbinu za lugha, na kielelezo).
- Sarufi: Ngeli ya U-U (Nomino za dhahania na upatanisho).
- Mada ya 6: Usawa wa Kijinsia
- Kusikiliza na Kuzungumza: Matamshi Bora ya Sauti Tatanishi na Ushairi wa Usawa.
- Kusoma: Kusoma kwa Kina (Kuchagua makala maktabani na matumizi ya kamusi).
- Kuandika: Insha ya Wasifu (Wasifu wa mtu mwingine na mpangilio wa matukio).
- Sarufi: Ngeli ya I-I (Nomino maalum kama chumvi, sukari, chai, miwani).
- Mada ya 7: Majanga na Jinsi ya Kuyazuia
- Kusikiliza na Kuzungumza: Nahau za Kazi na Ushirikiano.
- Kusoma: Kusoma kwa Mapana (Aina za majanga na mbinu za kuchagua matini).
- Kuandika: Insha za Maelezo (Kuhusu kuzuia majanga na matumizi ya sauti ya mamlaka).
- Sarufi: Ngeli ya PA-KU-MU (Mahali mahususi, kwingi, na ndani).
- Mada ya 9: Afya ya Akili
- Kusikiliza na Kuzungumza: Mazungumzo ya Kimuktadha (Lugha Rasmi na Isiyo Rasmi).
- Kusoma: Kusoma kwa Mapana (Msamiati wa afya ya akili kama sonona, msongo wa mawazo).
- Kuandika: Insha ya Maelezo (Athari za msongo wa mawazo na mpangilio wa hoja).
- Sarufi: Vinyume vya Vivumishi.
- Mada ya 10: Kukabiliana na Ugaidi
- Kusikiliza na Kuzungumza: Sitiari za Tabia (Matumizi ya majina ya wanyama kuelezea tabia).
- Kusoma: Usalama Mtandaoni na Ugaidi (Kutambua tovuti salama na ulinzi wa nywila).
- Kuandika: Insha ya Masimulizi (Kujenga taharuki na usalama).
- Sarufi: Hali ya Masharti (KI, NGE, NGALI) na Ukanushaji wake.
- Mada ya 11: Ushuru
- Kusikiliza na Kuzungumza: Kujieleza kwa Ufasaha (Usimulizi wa visa na sifa za msimulizi bora).
- Kusoma: Kusoma kwa Ufasaha (Kasi, usahihi, na kiimbo).
- Kuandika: Barua Rasmi (Marudio ya muundo na kielelezo cha kuomba msamaha).
- Sarufi: Ukanusho wa Hali ya Masharti na Ukubwa na Udogo wa Nomino.
- Mada ya 1: Viungo vya Mwili vya Ndani
- File Size:2.14 MB
- Length:183 pages
- Category:Lesson Notes
- Level:Grade 6
- Subject:KISWAHILI
- Posted By:Caleb_Peter
Pay Ksh 120.00 Ksh 150.00 to Download PDF
Enter your details below to initiate a payment using MPESA.
🛒 Save Time! Add this item to your cart, shop more, and pay for everything at once—quick, easy, and hassle-free!
Continue Shopping