Download "Grade 5 Rationalized Kiswahili Notes Complete Term 1, 2, and 3" Instantly.

7895 views 252 downloads.

Summary

  • Description:

    The PDF document comprises Grade 5 Rationalized Kiswahili Notes Complete Term 1, 2, and 3. The MS Word version (editable) is also available upon your request.

    It covers the following topics:

    • Mada ya 1: Mapishi
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Matamshi Bora (Sauti f/v, s/z, l/r, th/dh) na Vitanzandimi.
      • Kusoma kwa Ufahamu: Msamiati wa Mapishi (Vifaa, viungo, na matendo ya mapishi).
      • Kuandika: Insha ya Wasifu (Muundo na mambo ya kuzingatia).
      • Sarufi: Aina za Nomino (Nomino za Pekee na Nomino za Kawaida).
    • Mada ya 2: Huduma ya Kwanza
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Maamkuzi na Maagano (Aina za salamu kulingana na wakati, heshima, na hali).
      • Kusoma kwa Kina: Matumizi ya Kamusi (Mpangilio wa alfabeti na msamiati wa huduma ya kwanza).
      • Kuandika: Insha ya Masimulizi (Muundo na mbinu za kunogesha insha).
      • Sarufi: Nomino za Wingi na Vitenzi-Jina.
    • Mada ya 3: Mapambo
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Vitendawili (Muundo, taratibu, na mifano kuhusu mapambo).
      • Kusoma: Kusoma kwa Ufasaha (Matamshi bora, kasi, sauti, na ishara).
      • Kuandika: Kuandika kwa Tarakilishi (Sehemu za tarakilishi na mchakato wa kuandika/kuhifadhi).
      • Sarufi: Aina za Nomino (Nomino za Makundi, Nomino Ambata, Nomino Dhahania) na Uakifishaji.
    • Mada ya 4: Saa na Majira
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Maneno ya Heshima na Adabu (Msamiati wa Udugu na uhusiano).
      • Kusoma kwa Mapana: Saa na Majira (Dhana ya saa za Kiswahili na nyakati za siku) na Usalama Mtandaoni.
      • Kuandika: Baruapepe (Tofauti na barua ya kawaida, muundo, na mfano).
      • Sarufi: Ngeli ya I-ZI (Upatanisho wa kisarufi).
    • Mada ya 5: Kukabiliana na Umaskini
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Methali za Bidii (Uchambuzi na matumizi).
      • Kusoma: Ushairi (Vipengele vya shairi kama ubeti, mshororo, vina, mizani, na mahadhi).
      • Kuandika: Insha ya Maelezo (Muundo, vidokezo, na mpangilio wa hoja).
      • Sarufi: Ngeli ya U-ZI (Makundi ya nomino na upatanisho).
    • Mada ya 6: Maadili
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Ushairi (Msamiati wa maadili na jinsi ya kukariri shairi).
      • Kusoma kwa Kina: Makala ya Kujichagulia (Ujuzi wa maktaba na uchaguzi wa vitabu).
      • Kuandika: Insha ya Wasifu (Kujenga maudhui ya kimaadili).
      • Sarufi: Ngeli ya U-YA (Nomino za vitu halisi na dhahania).
    • Mada ya 7: Elimu ya Mazingira
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Nahau za Usafi na Mazingira (Uchambuzi na umuhimu).
      • Kusoma kwa Mapana: Mbinu za kusoma makala ya mazingira.
      • Kuandika: Insha ya Maelezo (Kuelezea masuala ya mazingira na utunzaji).
      • Sarufi: Ngeli ya KU-KU (Vitenzi-Jina na upatanisho).
    • Mada ya 8: Ndege wa Porini
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Visawe (Maneno yenye maana sawa).
      • Kusoma: Mchezo wa Kuigiza (Vipengele, msamiati wa ndege, na uigizaji).
      • Kuandika: Insha ya Masimulizi (Mbinu za uandishi na matumizi ya tanakali za sauti).
      • Sarufi: Mnyambuliko wa Vitenzi (Kauli ya Kutendewa, Kutendeka, na Kutendana).
    • Mada ya 9: Magonjwa
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Mazungumzo ya Kimuktadha (Lugha rasmi hospitalini na msamiati wa afya).
      • Kusoma kwa Mapana: Matini ya Afya (Magazeti, majarida, na vipeperushi).
      • Kuandika: Insha ya Maelezo (Chanzo, dalili, na kinga za magonjwa).
      • Sarufi: Vinyume vya Vitenzi (Vitenzi vya mizizi tofauti na vitenzi vya kutengua).
    • Mada ya 10: Kudhibiti Itikadi za Kidini na za Kijamii
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Tashbihi za Tabia (Ufafanuzi na matumizi).
      • Kusoma: Matini ya Kidijitali (Usalama mtandaoni na kusoma kielektroniki).
      • Kuandika: Insha ya Masimulizi (Kuhusu itikadi na masuala ya kijamii).
      • Sarufi: Nyakati na Hali (Hali ya Mazoea -HU- na Hali Timilifu -ME-).
    • Mada ya 11: Uwekezaji
      • Kusikiliza na Kuzungumza: Masimulizi (Dhana za uwekezaji na sifa za masimulizi bora).
      • Kusoma: Kusoma kwa Ufasaha (Vipengele vya kusoma kifungu cha uwekezaji).
      • Kuandika: Baruapepe (Mawasiliano ya kibiashara).
      • Sarufi: Ukanushaji wa Nyakati na Ukubwa na Udogo wa Nomino.
  • File Size:
    2.42 MB
  • Length:
    212 pages
  • Category:
    Lesson Notes
  • Level:
    Grade 5
  • Subject:
    KISWAHILI
  • Posted By:
    Caleb_Peter

Pay Ksh 120.00 Ksh 150.00 to Download PDF

Enter your details below to initiate a payment using MPESA.

Please fill out this field.
Looks good!
Looks good (optional field)!
Attachments can be downloaded immediately after purchase, and a copy will also be sent to your provided email.

🛒 Save Time! Add this item to your cart, shop more, and pay for everything at once—quick, easy, and hassle-free!

Continue Shopping
0